flush

flush

1 adj 1 ~ (with) -liosawazishwa, -a kulingana na. 2 (pred) -a kujaa mpaka juu; -enye wingi wa (fedha n.k.). ~ with money -enye fedha nyingi, -liojaa fedha.

flush

2 n 1 (of water) kufoka, kububujika. 2 bubujiko la damu; kuiva uso; wekundu usoni. 3 msisimko wa hisia (hasira, furaha n.k.). 4 ustawi, ukuaji. the (first) ~ machipukizi ya kwanza ya mmea in the first ~ of youth katika nyakati za ujana in the full ~ of health katika afya nzuri. vt,vi 1 (of a person, his face) iva uso (-wa mwekundu) kwa sababu ya bubujiko la damu. 2 (of heat, health, emotions etc) iva uso kwa sababu hiyo; (fig) jawa na msisimko/hasira, furaha, majivuno. 3 (of a latrine) vuta maji.

flush

3 n (in card games) seti ya karata za aina moja royal ~ seti ya karata tano za juu za aina moja.

flush

4 vt,vi 1 (of birds) bumburusha. 2 ~ from/out of kurupusha, timua.