flurry

n 1 mvumo wa upepo; mwanguko wa theluji/mvua (wa ghafla na wa muda mfupi). 2 (fig) kiherehere, haraka yenye wasiwasi, hangaiko. vt hangaisha, fadhaisha be flurried hangaika, ona wasiwasi.