fluoride

n (chem) msombo, kampaundi yoyote ya floraidi. fluoridate/ fluoridize vt tia floraidi kwenye maji ili kuzuia kuoza kwa meno. fluoridation; fluoridization n fluor n aina ya kito cha thamani chenye florini. flourspar n madini ya kalisiamu floraidi.