fluke

fluke

1 n bahati njema (isiyotegemewa). vt bahatisha; -wa na bahati he ~d alibahatisha.

fluke

2 n 1 (of anchor) ncha ya nanga. 2 mkia wa nyangumi.

fluke

3 n mnyoo bapa (katika ini la kondoo).