fluff

n 1 kibonge cha sufi, manyoya, malaika. 2 (colloq) kosa (katika kutenda jambo). vt 1 ~ (out) kung'uta, timua. 2 (colloq) kosea (katika kutenda jambo n.k.). fluffy adj -liopamba sufu/manyoya, kama sufu.