flower

n 1 ua. in ~ -enye maua, -liochanua. ~-bed n kitalu cha maua. ~-bud n tumba la ua. ~ garden n bustani ya maua. ~-girl n msichana muuza maua. ~ children/ people n (colloq in the 1960's) washabiki wa Mahipi, wahuni; washabiki wa upendo na amani. ~-power n mawazo ya watu kama hao. flower-pot n chungu cha (kuoteshea) maua. ~-show n maonyesho ya maua. 2 the ~ of kipeo cha (uzuri/umuhimu) the ~ of the nation's youth wabora miongoni mwa vijana wa taifa. 3 ~ of speech n misemo, mbinu na madoido. flowered adj -liopambwa maua. vi toa maua; chanua. burst into ~s pamba, tapakaa maua. flowery adj -enye maua mengi; (fig) -enye misemo mingi ya madoido. ~ language n lugha ya madoido. flowerless adj -sio na/toa maua.