flow

vi 1 bubujika, tiririka the river~s into Lake Malawi mto ule unatiririka katika ziwa Malawi. 2 (of hair, articles of dress) ning'inia. ~ing robes n magauni ya kuning'inia. 3 -wa matokeo ya, tokana na; success~s from hard work mafanikio yanatokana na bidii katika kazi; (of the tide) jaa. n (sing. only) 1 mtiririko, mbubujiko, mkondo. 2 (abundance) wingi kiasi a good ~ of water mtiririko wa maji mengi a ~of angry words mbubujiko wa maneno ya hasira/makali. ~ chart/diagram n mchoro wenye kuonyesha hatua kwa hatua uhusiano au utaratibu wa vitu katika mfumo.