flounder

flounder

1 vi tapatapa; hangaika (kwa bidii bila mafanikio); (fig) sita, tatanika, -wa na wasiwasi ~ through an explanation tatanika katika utoaji maelezo.

flounder

2 n (aina ya) wayo.