flounce

flounce

1 vi jitupatupa; enda kwavishindo/haraka/hasira/makeke ~ out of the room toka chumbani kwa makeke. n kujitupatupa; kwenda kwa hasira/makeke.

flounce

2 n (often ornamental) lesi au pambo la kitambaa katika upindo wa nguo. vt sawazisha kwa pambo la lesi/kitambaa.