flora

n flora: mimea yote ya nchi fulani au ya kipindi maalum. floral adj -a maua. florescence n hali ya maua kuchanua; wakati mmea unapotoa maua. floriculture n kilimo cha maua. florist n muuza maua. florid adj 1 -liorembwa/nakshiwa sana; -enye mapambo na rangi nyingi mno; (of music etc.) -liotiwa madoido mengi mno. 2 (of a person's face) -ekundu (kwa asili). floridly adv.