flop

vt,vi 1 enda/anguka kwa kishindo; jipweteka, jitupa. 2 ~ down weka/ angusha kizembe. 3 (sl) (of a book, a play for the theatre etc) shindwa, -tofanikiwa. n 1 kishindo. 2 (sl) ushinde (wa kitabu, mchezo n.k.). floppy adj laini sana. floppy disk n sahani/diski laini/tepe adv kwa kishindo. flop-house n hoteli ya hali ya chini kabisa (agh ya wanaume).