floor

n 1 sakafu. wipe the ~ with something shinda mtu (k.m. kwenye ugomvi au mabishano). ~ board n ubao wa sakafu; mbao. ~ show n maonyesho (katika hoteli, mkahawa n.k.). 2 ghorofa. ground ~ n (GB) ghorofa ya chini. first ~ (GB) ghorofa ya kwanza; (US) ghorofa ya chini. 3 chini (ya bahari, pango n.k.). 4 sehemu ya bunge wanapokaa wajumbe. take the ~ ongea katika mdahalo/majadiliano. the ~ n haki ya kuzungumza/ongea hadharani the delegate has the ~ mjumbe ana haki ya kuzungumza. 5 (of prices) bei ya chini kabisa. flooring n vifaa vya kutengenezea sakafu. vt 1 sakafia. 2 angusha ~ a man in a boxing match angusha mtu kwenye ndondi. 3 (of a problem, argument) tatiza, shinda; changanya.