flood

n 1 mafuriko The Flood (rel) Gharika. 2 wingi, mbubujiko ~ of tears mbubujiko wa machozi. 3 ~ tide n maji kujaa. ~ gate n mlango wa kuzuia/kutoa maji. floodlights n (pl) taa kubwa zenye mwanga mkali. floodlight vt angaza kwa taa kubwa. vt,vi 1 furika. 2 (of rain) sababisha mafuriko. 3 ~ out furika; lazimisha kuhama kwa sababu ya mafurikio; (fig) ~ the market jaza/sheheneza bidhaa (ili kuteremsha bei). 4 ~ in -ja kwa wingi.