flog

vt 1 tandika/chapa kiboko au mjeledi. ~ a dead horse poteza nguvu bure. ~ something to death rudiarudia kitu hadi kinachusha. 2 (sl) uza (bidhaa kuukuu au za wizi). flogging n kuchapa kwa kiboko au mjeledi.