flock

flock

1 n 1 (usu sheep, goats) kundi. ~ and herds n kondoo na ng'ombe. 2 (of people) umati; kiasi kikubwa. 3 (mkusanyiko wa) waumini (wa kikristo); watu walio chini ya mtu mmoja a priest and his ~ padre na waumini wake vi kusanyika; -ja/enda wengi pamoja the children ~ed to see the magician watoto walikusanyika kumtazama mfanya mazingaombwe. ~ out toka kwa makundi.

flock

2 n kibonge cha sufu au nywele; (pl) taka za sufu au pamba zitumiwazo kujaza godoro n.k.