float
n 1 chelezo, boya. 2 jukwaa lenye magurudumu; gari lenye jukwaa vt,vi 1 elea. 2 fanya (kitu) kielee. 3 (comm) pata msaada (wa fedha)/mtaji kuanzisha jambo; anzisha shirika n.k (kwa kuuza hisa). 4 (finance) acha fedha ibadilikebadilike thamani bila kizuizi, ondoa udhibiti wa thamani ya fedha. 5 eneza ~ a rumour eneza uvumi. floating adj 1 inayobadilika- badilika; geuzi; geugeu. 2 ~ing debt n deni ambalo sehemu yake sharti ilipwe inapotakiwa. ~ing rib n (anat) ubavu usioungana na kidari. floatation n (upataji mtaji wa) kuanzisha kampuni n.k.