flipper

n 1 kikono (cha nyangumi, pomboo n.k). 2 mpira ufungwao miguuni (wakati wa kuogelea) (kwa kujifurahisha tu); bemba.