flip

vt,vi 1 shtua, rusha kwa kidole. 2(fig) geuza, bingirika. 3 (sl) pata wazimu. 4 (sl) jaa shauku, sisimka sana (kwa ajili ya mtu/jambo). 5 ~ through soma juujuu, somasoma. n 1 mrusho mdogo; kipigo cha haraka. 2 (colloq) mruko wa muda mfupi kwa eropleni (kwa kujifurahisha) adj -siokuwa na makini/ukweli. the ~ side (colloq) upande wa pili wa sahani ya santuri.