flimsy

adj (of material) -sio na nguvu (kwa sababu ya kuwa -embamba, laini); -a kuharibika; -a kuvunjika kwa urahisi; (fig) a ~ excuse/ argument udhuru/hoja hafifu, isiyoridhisha. n karatasi nyepesi. flimsily adv. flimsiness n.