flight

flight

1 n 1 kuruka the art of ~ ufundiwa kuruka. 2 safari ya angani; masafa ya mruko. ~ deck n (on an aircraft carrier) sitaha ya kupurukia na kutulia; (in an airliner) chumba cha rubani, n.k.. 3 mwendo wa hewani. 4 kundi la ndege (au vitu virukavyo pamoja) hewani. in the first ~ katika nafasi ya mbele, -enye kuongoza. 5 kupita kwa haraka. 6 (of stairs) ngazi. 7 kundi la ndege katika jeshi la anga la nchi. ~ Lieutenant n Luteni wa jeshi la anga. flighty adj -geugeu. flightiness n.

flight

2 n kukimbia; ukimbizi put to ~ fukuza/kimbiza maadui. take ~; take to ~ kimbia.