flex

flex

1 n kamba ya umeme (ya taa, pasi n.k.).

flex

2 vt kunja, nyumbua (mkono,mguu). ~ one's muscles nyumbua/ chezea/nyoosha misuli. flexible adj -a kunyumbulika, -enye kupindika; (fig) -nayoweza kubadilika kwa urahisi kupokea mazingira mapya; (of persons) -enye uwezo wa kubadilisha (mipango, malengo). flexibility n.