1n 1 kundi la manowari chini ya kamanda (kiongozi) mmoja; manowari zote za nchi moja. 2 kundi la meli, ndege, motokaa n.k. chini ya kiongozi mmoja au miliki moja.
fleet
2adj (poet. liter) -epesi (katika mwendo); -enye kasi kubwa. fleetlyadv. fleetnessn. fleetingadj -epesi; -a muda mfupi tu, -a kupita, -a mara moja pay somebody a ~ ing visit tembelea mtu kwa muda mfupi tu.