fleece

n 1 manyoya ya kondoo; lundo la manyoya ya kondoo ya mkato mmoja. 2 kitu kilichofanana na manyoya ya kondoo k.m. mawingu. ~ somebody (of something) (fig) ibia mtu kwa ujanja; tapeli; (by charging high prices) gonga. fleecy adj.