fledged

adj (of birds) -enye mabawa ya kurukia, -enye nguvu ya kurukia fully ~ (fig) -liofunzwa na -enye uzoefu wa muda mrefu. fledg(e)ling n kinda (kifaranga) la ndege; (fig) kijana asiye na uzoefu.