flatter

vt 1 sifu mno; jipendekeza; rai; bembeleza. 2 furahisha, pendeza be ~ed by an invitation pendezwa na mwaliko. 3 (of picture, image) fanya -zuri kuliko -a kweli. 4 ~ oneself jivuna (bila haki); jifurahisha. flatterer n. ~ry n ubembelezaji; sifa isiyostahilika.