flat

adj 1 sawasawa; bapa the floor is ~ sakafu iko sawasawa. ~ land n ardhi tambarare. ~ bottomed adj (of boat) bapa, -enye kitako. ~ car n (US) behewa la mizigo (lisilo na bodi). ~ fish n samaki wa jamii ya wayo. ~ footed adj -enye nyayo bapa; (colloq) thabiti, imara. flatfoot n polisi. ~racing/the F~ n mashindano ya farasi bila kuruka viunzi. ~ top n (colloq) see aircraft carriers. 2 (insipid) baridi, dufu; -sio tamu, chapwa the dance fell ~ ngoma haikufana his speech fell ~ hotuba yake haikukolea. 3 (of liquor) siyo na gesi. 4 -a kuteremsha sing ~ imba kwa kiteremsho. 5 (depressed) -enye moyo mzito. 6 -a wazi kabisa he gave a ~ denial alikana kabisa that's ~ basi! 7 (of a tyre/foot ball) -liokwisha pumzi. 8 (comm) ~rate n bei moja. 9 (of colours) -siyo vivuli, bapa. 10 (of battery) -liokufa, -siochaji. 11 (of characters, lit.) bapa. 12 ~ spin n (of aircraft) kushuka kwa kasi; (colloq) (of a person) kuchanganyikiwa adv 1 kwa kutandazwa/kulaza fall ~ on one's face/back anguka kifudifudi/chali the earth quake laid the city ~ tetemeko la ardhi liliteketeza mji. 2 moja kwa moja. ~ broke n kuchalala, kukaukiwa, mwambo. 3 ~ out kwa nguvu zote; hoi. n 1 mahali sawa na papana; (usu near sea) wangwa. 2 (of sword) ubapa ~ of the hand kitanga cha mkono. 3 (mus) kiteremsho. 4 (US) pancha, gurudumu lililokwisha upepo. flattish adj. flatly adv kabisa, waziwazi; bila furaha. n 1 (US apartment) nyumba ya ghorofa. block of ~s n maghorofa. flatten vt,vi ~ten out sawazisha, laza, nyoosha, tandaza I ~tened myself against the wall nilijibana ukutani; (of aircraft) enda sawa baada ya kushuka; (fig) aibisha sana, maliza, dhalilisha, gonga.