flash

n 1 mwako, nuru ya (mwanga wa) kumulika ghafula. (fig) in a ~ kufumba na kufumbua. a ~ in the pan limbuko. 2 ~ light n taa; (naut) mmuliko; (US) tochi; (also ~ bulb) taa ya picha. ~ gun n tochi ya picha. ~ point n (of gas) kiwango cha kuwaka mafuta. n 1 (fig) mahali pa hatari (ambapo vita vinaweza kuzuka wakati wowote). 2 news ~ n taarifa motomoto/za ghafla (zinazopokelewa ili kutangazwa na vyombo vya habari). 3 (mil) medali ya utepe kwenye sare ya jeshi. vi 1 waka, mulika ghafla na kuzimika. 2 (fig) -jia ghafla (akilini) it suddenly ~ed upon him ghafla yakamjia; pita upesi sana the train ~ed past treni ilipita haraka sana. 3 enda upesi news ~ed across the world habari zilitangaa upesi duniani pote. 4 ~ back rejea ghafula; kumbuka, kumbusha. ~ back n kumbusho (la ghafula). flashy adj -shaufu, -a maringo, -a madaha. flashily adv.