flank

n 1 ubavu, upande wa mtu aunyama. 2 kando, upande (mlima, jengo, msafara). 3 sehemu ya pembeni ya jeshi a ~ movement mwendo wa kupita upande, mzunguko. vt,vi zunguka pembeni; shambulia kutoka pembeni; (pita, weka) ubavuni kwa (upande wa, kando ya). vi -wa kandoni; pakana na. flanker n mchezaji wa pembeni.