flame

n 1 mwale, mwako wa moto, ulimi wa moto. 2 (colloq) mpenzi, mchumba. 3 mwako (wa upendo, wa hasira, wa shauku). (to) fan the ~ chochea moto ~-tree kifabakazi ~ -thrower silaha ya moto. vt 1 waka, lipuka, toa moto. 2 fanana na miale kwa rangi. 3 ~ out (up) waka kwa hasira. flaming adj -nayowaka, -a moto sana.