flake

n 1 chembe, sehemu ndogo ndogo snow ~ vipande vidogo vya theluji. 2 (of metal) mavi. vt,vi banduka. (fig) ~ out zimia; anguka kwa uchovu. flaky adj flakiness n.