1n bendera, baramu. ~ of convenience bendera ya bandia (itumikayo kumficha mwenye meli ili aepuke kutoa ushuru). lower/ strike one's ~ teremsha bendera kama ishara ya kuonyesha kukubali ushinde. (compounds) ~-captainn kapteni wa meli ya admeri. ~-dayn siku ya kutoa michango ya kusaidia wenye shida. flag-officern admeri. ~-pole/flag-staffn mlingoti (wa bendera). flag-shipn manowari yenye bendera ya admeri. vt 1 pamba kwa bendera. 2 simamisha gari, treni n.k. kwa bendera. vi legea, tepeta; (diminish) fifia, pungua; (fig) nyong'onyea, choka.