fix
fix
1 vt,vi 1 kaza, kongomea, imarisha. 2 ~ on kazia, elekeza (macho, fikra n.k.) juu ya; kodolea (macho). 3 (of objects) vuta/vutia macho, tazamisha the lady's dress ~ed his attention gauni la mwanamke lilimvutia macho. 4 amua, panga ~ a date for a journey panga siku ya safari. 5 tengeneza kwa/tia dawa (filamu, rangi) ili zisififie kwa mwanga wa jua. 6 ~ up (with something); ~ something up (with somebody), pangia; panga, tayarisha ~ up a friend for the night -pa rafiki malazi. 7 ~ on/upon chagua. 8 (sl) toa rushwa, honga It's a major offence to ~government officials ni kosa kubwa kuwahonga maafisa wa serikali. 9 lipiza kisasi; tengeneza. 10 (colloq) tengeneza ~ one's hair chana, nywele. ~ a radio tengeneza redio. fixed adj -a kudumu; thabiti; siobadilika/geuka/sogea. ~ed assets n rasilimali za kudumu. ~ed capital n mtaji wa kudumu. ~ed point n nukta tuli. ~ed price n bei moja. fixedly adv kwa ukakamavu. fixedness n.fix
2 n 1 matatizo, matata, mkwamo. get somebody into a ~ tia mtu matatani. be in a ~ kwama. 2 kutambua mahali kwa kuangalia nyota. 3 (sl) sindano ya dawa za kulevya. fixate vt 1 kodolea/kazia macho. 2 be ~ed (on) (colloq) tawaliwa na tamaa ya. fixation n 1 (of film etc) kutengeneza kwa dawa. ~ation (on) tamaa kuu (ya).fixative n dawa ya kutengeneza filamu n.k.; dawa ya kugandisha (meno, nywele n.k.). fixity n (phyl) uthabiti, ugumu, uimara. ~ ture n 1 chombo/zana iliyowekwa mahali pa kudumu (agh hununuliwa pamoja na nyumba). 2 (colloq) mtu/kitu kinachoonekana sana mahali/ kinakuwepo kila wakati he is a ~ture at the bar hakosekani kwenye baa. 3 (of games) (ratiba ya) pambano.