fit

fit

adj 1 ~ (for) -a kufaa; laiki, -enye kustahili the meal is ~ to eat chakula kinafaa kuliwa that post does not ~ you cheo/kazi ile si laiki yako the proposed time is ~ for us all muda uliopendekezwa unatufaa sote. 2 sawa, -a haki it is not ~ that you should abuse your teacher so sio haki kumtukana hivyo mwalimu wako. think/see ~ (to do something) amua kufanya kitu fulani. 3 -wa tayari feel ~ to do something -wa tayari kufanya jambo fulani; (also colloq, as an adv) we laughed ~ to burst tulivunjika mbavu kwa kucheka. 4 -enye afya nzuri feel ~ as a fiddle -wa mzima kabisa. fitly adv. fitness n 1 ubora wa. 2 siha, uzima. vt,vi 1 kaa, enea, faa, tosha his clothes ~ him nguo zake zimemkaa it ~s you like a glove imekukaa; kama ulizaliwa nayo it ~s me inanitosha, imenienea ~ tight saki, bana. 2 ~ (on) jaribu kuvaa (nguo, viatu ili kupima). 3 weka; kaza; pachika ~ a new door weka mlango mpya. 4 ~ (for) andaa; kuwa barabara/ laiki/imara. 5 ~ in (with) patana na my outing must ~ in with yours matembezi yangu lazima yapatane na yako. 6 ~ somebody/something out/up -pa matumizi, -pa vifaa vinavyohitajika. n jinsi mavazi yakaavyo a good/bad ~ nguo ikaayo vizuri/vibaya mwilini. fitment n kifaa, zana. kitchen ~ment n zana za jikoni. fitter n 1 fundi (cherehani) anayepimisha na kushonesha nguo. 2 fundi wa kuunganisha sehemu za mashine, injini, mitambo n.k. fitting adj -a kufaa; stahiki. n 1 kujaribisha nguo kwa fundi. 2 zana, kifaa (cha kudumu). electric light ~ting n zana ya taa za umeme; (pl) samani, fanicha, vyombo.

fit

2 n 1 ugonjwa wa ghafla wa muda mfupi a ~ of coughing kushikwa na kikohozi (kwa muda); kikohozi a fainting ~ kuzirai.2 kifafa epileptic ~ kifafa hysteria ~ kulialia/ chekacheka ovyo. have a ~ (colloq) shtuka mno. give somebody a ~ (colloq) kasirisha, shtua. 3 shambulio la ghafla la muda mfupi; mlipuko a ~ of anger hasira ya ghafla, ya muda. in by ~s and starts kwa vipindi vifupi mara moja moja. fitful adj -enye kutokea kwa vipindi; (restless) -a kugeuka geuka. ~ fully adv. 4 kujisikia when the ~ was on him alipojisikia.