fission

n mgawanyo/mpasuko (mfano wa chembe hai au wa nguvu za atomu). fissionable adj -a kuweza kugawanyika, -a kuweza kupasuka kwa nguvu za atomu. fissile adj -a kuweza kupasuka/kuchanika. fissiparous adj (of cells) -a kuongezeka kwa njia ya mpasuko/ kugawanyika. fissure n ufa.