fish

n 1 samaki, nswi. a pretty kettle of ~ hali ya matata/vurumai. have other ~ to fry -wa na shughuli nyingine muhimu zaidi. there's as good ~ in the sea as ever came out of it (prov) iko siku drink like a ~ kunywa pombe mno. 2 mlo wa samaki. ~ and chips chipsi na samaki. 3 (compounds) ~ -ball/~ -cake n andazi la samaki na viazi vya kupondwa. ~ bone n mwiba wa samaki. ~ -hook n ndoana. ~-knife n kisu cha kulia samaki. ~-monger n mchuuzi/muuza samaki. ~-paste n lahamu ya samaki. ~-slice n kisu cha kupakulia samaki mezani. ~-wife n mwanamke muuza samaki; (colloq) mwanamke mwenye mdomo mchafu. fishy adj 1 -enye shombo. 2 (colloq) -sioaminika. vt,vi 1 vua samaki. ~ in the sea (fig) jaribu kupata kitu kwa njia za kuzunguka. ~ in troubled waters jaribu kupata faida kutokana na machafuko fulani. 2 ~ up (out of) (from) toa, chomoa ~ from one's pocket chukua sarafu kutoka mfukoni. 3 ~ for compliments (informal derog) tafuta sifa ~ for information tafuta habari kwa njia za kuzunguka. fishing n kuvua samaki. ~ing-line n mshipi. ~ing-rod n ufito wa kuvua. ~ing-tackle n vifaa vya uvuvi. fisher n mvuvi; mtu anayeishi kwa kuvua samaki. fisherman n mtu anayeishi kwa kuvua samaki, mvuvi. fishery n 1 sehemu ya uvuvi (baharini, mtoni, ziwani n.k.) in-shore ~eries uvuvi wa karibu na pwani.