first

first

1 adj 1 (abbr 1st) kwanza; -a awali; -a mwanzo. at ~ sight ilivyoonekana kwa mara ya kwanza. in the ~ place kwanza kabisa. ~ thing n jambo la kwanza. ~ things ~ -a muhimu kwanza, panga kufuatana na umuhimu wa jambo. not to know the ~ thing about something kutofahamu chochote kuhusu jambo fulani. 2 (special uses, compounds) ~aid n huduma ya kwanza. ~ base n (base ball) kituo cha kwanza. get to ~ base (fig) anza vizuri. ~ class n daraja la kwanza adj safi sana; -a daraja la juu ~ class entertainment burudani safi kabisa travel ~ class safiri kwa daraja la kwanza. ~ cost n (comm) gharama bila faida. ~ fruits n mlimbuko, mavuno ya kwanza ya msimu; (fig) matunda ya mwanzo ya kazi za mtu. ~ hand adj,adv -a asili, -a moja kwa moja, -liopatikana kutokana na chimbuko ~ hand information habari/ushahidi kutoka kwa mtu aliyekuwapo wakati jambo linatokea at ~ hand moja kwa moja. ~ name n jina la kwanza (sio la ukoo). ~ night n usiku wa kwanza (wa mchezo). ~ nighter n mtazamaji wa mara kwa mara wa maonyesho hayo. ~ offender n mhalifu wa mara ya kwanza. ~ person n (gram) nafsi ya kwanza. ~ rate adj -a hali ya juu, bora, aali; (colloq) vizuri sana she is getting on ~-rate anaendelea vizuri sana. firstly adv.

first

2 adv 1 kwanza. ~ of all kwanza. ~ and foremost awali ya yote. ~ come ~ served wa kwanza kwanza. ~ and last kwa jumla; zaidi ya yote; mwanzo na mwisho. ~ born n kifungua mimba. 2 kwa mara ya kwanza when did you ~ see this? ulikiona lini kwa mara ya kwanza? 3 kuliko he will resign ~ atajiuzulu kuliko. n 1 at ~ mwanzoni. from the ~ tokea mwanzo. from ~ to last toka mwanzo hadi mwisho. 2 (in examination, competitions) nafasi ya kwanza; mwenye kushika nafasi ya kwanza. 3 (at University) digrii ya daraja la kwanza.