firm

firm

1 adj 1 imara, thabiti, -gumu. be on ~ ground -wa na uhakika; -wa thabiti katika maoni be ~ on one's legs simama tisti. 2 (resolute) shupavu be ~ in one's beliefs shikilia. 3 (of a person, his body, its movements, characteristics etc) -siotetereka, madhubuti, -liotengamaa. vt,vi (make/become) -wa imara, jikita; imarisha, kita, shupaza adv kwa imara stand ~ (lit or fig) shupalia jambo. firmly adv. firmness n.

firm

2 n washirika, wabia (katika biashara, kampuni).