n kidole, chanda. little-~n kidole cha mwisho. ring-~n kidole cha pete. middle ~n kidole cha kati. index/fore ~n kidole cha shahada. somebody's ~s are all thumbs mtu mzito katika kutenda jambo, goigoi. burn one's ~s pata matatizo, ingia matatani kutokana na uzembe. lay a ~ on gusa don't lay a finger on this book usiguse kitabu hiki. lay/put one's ~ on tambua kiini cha kosa, tatizo n.k. not lift/raise/stir a ~ (to help somebody) -tosaidia mtu. put the ~ on somebody(sl) fichua (mhalifu). twist somebody around one's litle ~ tawala mtu kabisa. work one's ~s to the bone chapa kazi sana. ~-alphabetn mfumo wa kutumia vidole kuzungumza na kiziwi, lugha ya viziwi wasiosikia. ~-boardn daraja la fidla. ~-bowln tasa (la kunawia mikono). ~-markn alama za vidole (vichafu). ~-nailn ukucha. ~-platen kizuizi cha uchafu katika kitasa cha mlango. ~ -postn ubao unaoelekeza njia kwa picha ya kidole. ~-pointn alama ya kidole. ~-tipn ncha ya kidole. have something at one's ~ tips jua sana, -wa na uzoefu mkubwa wa jambo fulani pull your ~ out (sl) fanya/chapa kazi. fingerstalln kifuniko/ kinga ya kidole (kilichojeruhiwa). vt 1 gusa, papasa, tomasa, shikashika, tia vidole ~ a piece of cloth gusa kitambaa. 2 (US sl) taja (agh. mhalifu).