finesse

n werevu, uwezo wa kufanya jambo kwa maarifa na upole; (cards) jitihada za kushinda kwa kutumia mbinu. vt ~ somebody into doing something shawishi mtu kwa ujanja na upole kufanya kitu fulani.