fine
fine
1 n faini. vt toza faini. fineable (also finable) adj inayotozeka faini.fine
2 n (only in) in ~ (old use) kwa kifupi; mwishowe.fine
3 adj 1 -angavu, -zuri it is a ~ day ni siku angavu. one ~ day (in story telling) siku moja one of these ~ days iko siku hapo baadaye. 2 -a kupendeza a ~ view mandhari ya kupendeza. ~ art n sanaa za uchoraji, uchongaji, ufinyazi n.k. fine-spun adj -liosokotwa vyema. 3 ororo, laini; -liyofanywa kwa ustadi na epesi kuharibika. 4 (slender) -embamba sana, -dogo sana ~ distinction ubainisho mdogo, mkali. not to put too ~ a point on it eleza waziwazi/bayana. 5 (of metal) safi ~ gold dhahabu safi. 6 (healthy) -a afya. 7 (of speech or writing) -liotiwa chumvi, -sio kweli. call somebody/something by ~ names taja kitu kwa kutumia tasifida; (of somebody) vika kilemba cha ukoka. finely adv 1 kwa kupendeza, kwa uzuri. 2 katika vipande vidogo sana. fineness. ~n, adv (colloq) zuri that suits me ~ inanifaa sana. finery n umalidadi; mavazi mazuri in all her ~ kwa umalidadi wake wote.