finance

n 1 (sayansi ya) usimamizi wa fedha (hasa za umma) expert in ~mtaalamu wa fedha the Minister of ~ (G.B. Chancellor of the Exchequer) Waziri wa Fedha. ~ house/company n kampuni ya fedha/karadha/mikopo. 2 (pl) fedha (hasa za serikali na kampuni). vt gharamia. financial adj -a fedha. financial year n mwaka wa fedha. financially adv. financier n bepari; stadi katika mambo ya fedha.