final

adj 1 -a mwisho. 2 -a kukata maneno; makataa. n (often pl) 1 fainali. 2 mtihani wa mwisho. 3 (colloq) toleo la gazeti litolewalo mwisho wa siku. finalist n 1 mshindani wa fainali. 2 mwanachuo wa mwaka wa mwisho. finally adv 1 hatimaye, mwishowe. 2 kabisa he was finally cured alipona kabisa. finale n (mus) sehemu ya mwisho ya utungo; mwisho. finality n makataa, mwisho. finalize vt hitimisha, kamilisha, maliza.