film

n 1 utando; utando wa macho. 2 filamu, sinema. the ~s n sinema. ~ star n mchezaji sinema mashuhuri. filmy adj -a utando, -a utusitusi. vt,vi 1 piga picha za sinema. 2 ~ (over) tanda; tandaza. 3 tokea vizuri/vibaya katika picha. filmable adj -enye kufaa kutolewa picha ya sinema.