fight

n 1 pambano, mapigano. put upa good/poor ~ pigana kishujaa/ ovyoovyo; (brawl) (fig) ugomvi. 2 ari na uwezo wa kupigana they still had ~ left in them bado walikuwa na ari na uwezo wa kupigana. show ~ onyesha/wa na moyo wa kupigana. vi,vt 1 pigana; fanya vita; shindana. ~ with (against) somebody, something pigana na. ~ for something pigania, shindania. ~ to a finish pigana mpaka kufikia uamuzi.~ shy of epukana na. 2 (of battle) pambana; (of election) gombea. 3 ~ something down shinda; kandamiza, zima. to ~ one's way sukuma/pita kwa nguvu, pigania. ~ off rudisha nyuma; zuia kwa nguvu. ~ it out pambana hadi suluhu ipatikane. ~ing chance n uwezekano wa kufanikiwa ikiwa unajitahidi sana. fighter n 1 mpiganaji. 2 ndege ya kivita.