fiddle

n 1 (colloq) fidla. fit as a ~ mzima sana. have a face as long as a ~ -wa na sura ya masikitiko. play second ~ (to) chukua nafasi ya usaidizi. fiddle-faddle n upuuzi; mambo madogomadogo. ~ stick n upinde. fiddlesticks interj upuuzi. 2 (colloq) utapeli, ughushi, ubabaishaji. vt 1 (colloq) piga udi/fidla. 2 ~ (about) (with) chezacheza na, chezeachezea. 3 (sl) badilisha ili kuvuruga. ~ r n mpiga fidla; mghushi. fiddling adj (colloq) -siokuwa -a maana.