fibre
(US fiber) n 1 ufumwele, utembo, ung'ong'o, unyuzi. 2 bonge/ donge/bao/bamba la nyuzinyuzi. ~ board n bamba (la) nyuzi; hadibodi. ~ glass n kioo nyuzi: bamba/bati/ bodi la mseto wa glasi na nyuzi. 3 umbile, msuko; (fig) (of person) tabia. of strong moral ~ adilifu. fibrous adj.