feudal

adj -a kikabaila ~ society jamii ya kikabaila. ~ stage n hatua ya ukabaila. ~ system n mfumo wa kikabaila, nyarubanja. feudalism n ukabaila. feudalist n kabaila. feudatory adj -enye kumtumikia kabaila n mtwana wa kabaila.