fetch

vt,vi 1 leta go and ~ nenda kalete. ~ and carry (for) fanyia mtu kazi ndogondogo; tumikia. 2 (be sold for) uzwa kwa; pata the car will ~ a good price gari litauzwa kwa bei nzuri. 3 (colloq) piga. 4 toa, toza (machozi, kite n.k.). ~ up 1 toa; leta. 2 komesha. 3 tapika. 4 fik(i)a (kiwango). n 1 tendo la kwenda kuchukua kitu. 2 hila. fetching adj (colloq) -enye kuvutia, -a kupendeza.