festoon

n ushanga/utungo wa maua, karatasi za rangirangi, vitambaa vya rangirangi n.k. (kwa ajili ya mapambo). vt pamba kwa ushanga, utungo wa maua n.k.