fertile

adj 1 -enye kuzaa sana; -enye rutuba. 2 -enye uwezo wa kuzaa. 3 -enye mawazo, mipango mingi. fertility n. fertilize vt 1 rutubisha. 2 tungisha mimba. fertilizer n mbolea (k.m. ya chumvichumvi, samadi, mboji n.k.). fertilization n 1 rutubisho. 2 utungisho.